Mwanamuziki, Rihanna ameonesha kuwa kati ya waokubali nyimbo za mastaa kutoka Afrika kupitia wimbo ‘OJUELEGBA’ wa Wizkid.
Rihanna alionesha hilo kwenye Insta Story yake kwa video yake iliyosikika kuwa alikuwa kiusikiliza wimbo huo.
Hatua hiyo ya Rihanna, ilibua maoni mengi ya kusherehekea hatua ya mastaa wakubwa Duniani kuzidi kuutangaza mbali muziki wa Afrika.

0 Comments