Petit Man afunguka kuhusu Esma Platnum


Meneja wa wasanii mbalimbali Bongo, Hemed Manungwi ‘Petit Man’ amemfungukia aliyekuwa mke wake, Esma Khan baada ya kuona amemblock kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

Petit Man alisema kuwa hana budi kumshukuru mkewe huyo kwa kumzalia mtoto lakini alitamani siku ambayo an­amtakia heri ya kuzaliwa mtoto wao huyo kwenye mtandao Esma angeona alichoandika.

“Unajua nilitamani napotoa shukurani mzazi mwenzangu huyo angeona lakini kwa bahati mbaya kaniblock sasa sina jinsi najua watu wake wa karibu watamwambia,” alisema Petit Man.

Post a Comment

0 Comments