Mwanamitindo, Mwimbaji na muigizaji, Hamisa Mobetto ameonyesha kuwa yupo mbioni kuachia wimbo wake mpya akiwa na Christian Bella.
Katika ukurasa wa Hamisa ameweka picha nyingi na Clip za video zikiwa zimesambaa mitandaoni huku zikionyesha wawili hao wako Dubai.
Tangu Mwadada huyo aanze kuachia nyimbo, huu utakuwa ni wimbo wake wa nne.
0 Comments