AUNT EZEKIEL AJIFUNGIA NDANI SIKU 14

Muigizaji wa filamu Aunt Ezekiel, amesema kuwa wiki nzima amekuwa na majonzi makubwa kutokana na kumkumbuka sana marehemu mama yake kitu ambacho kilimfanya kujifungia ndani na kulia huku akitamani apate angalau dakika cache za kuzungumza naye. 

 Aunt amesema kuwa kuna kipindi anakaa na kumkumbuka sana huku akitamani hata dakika chache cha kuzungumza naye.

“Unajua kuna kipindi unakutana nacho unatamani mtu wa kuzungumza naye lakini ndani ya moyo unaona mtu wa kumueleza ya moyoni ni mama yako na yeye hayupo wala huwezi kumuona,” alisema Aunt kwa uchungu.

(Visited 1 times, 1 visits today)

Post a Comment

0 Comments