Kuna vitu vinatuzinguka na tunavitumia tunavitumia kila siku kwenye maisha yetu ya kila siku bila kujua faida zilizomo ndani yake.mfano karoti; Mara nyingi karoti tunaitumia kama kiungo cha mboga lakini inafaida kubwa sana katika miili yetu.
Karoti ni tiba nzuri sana kwa magonjwa kama:
A: vidonda vya tumbo.
B: huziua saratani hasa yatumbo.
C: hutibu kibofu cha mkojo.
D: hutibu koo.
E: husafisha damu.
F: hupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa damu.
G: huondoa chunusi na mabaka usoni.
H: husaidia ngozi kuwa yenye afya na kuinawirisha.
JINSI YA KUTENGENEZA KAROTI KAMA TIBA
Mahitaji.
a: karoti kg 1.
b: kifaa cha kutwangia au blenda.
c: maji lita 1.5 au 2.
Jinsi ya kutingeneza.
1: chukua karoti zioshe vizuri kisha zitwange au zisage kwenye blenda mpaka zilainike.
2: chemsha kwenye maji kwa muda wa dk 15.
3: ipua na ichuje kupata juice yake itakuwa tayari kwa matumizi.
Kwa vidonda vya tumbo, saratani na magonjwa mengine.
- tumia nusu kikombe cha chai kila siku kwa muda wa siku90 mpaka 270 yaani (miezi 3 -6) kulingana na ukubwa wa tatizo wewe mwenyewe utakuwa unaangalia maendeleo yako.
Kwa chunusi, madoa na kurainisha ngozi ya u so.
- nawa ile juice yake kila siku asubuhi kwa siku 5-7 mfululizo.
Ukiitumia vizuri kwa kufuata utaratibu karoti inasaidia sana wengi wamenifaika nayo.
0 Comments