Juzi aliniboa kidogo nikamtumia meseji za hasira za kwamba simpendi tena, ila badaae hasira zilipoisha nikajikuta nalia sana kumpoteza rafiki yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu sababu meseji nilizomtumia zilikuwa mbaya sana.Nimemuomba msamaha ila hajanijibu..Bado nampenda sana yaaani hata boyfriend wangu simpendi kama navyompenda huyu rafiki yangu japo si wapenzi ila namfeel sana yaaani sometimes natamani nimkiss japo ni msichana mwenzangu ...
Naogopa jamani nishaurini ama ndio hizi wanazosema dalili za Usagaji
By Kurwa
0 Comments