Nilimfuma Mke Wangu ‘Live’ na Baba Mwenye Nyumba Wakivunja Amri ya 6

Jina langu naitwa Joseph, mkazi wa Dar es Salam, nipo kwenye ndoa kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Hapo mwanzo nilikuwa na furaha sana na kuipenda  familia yangu na kufanya kila jambo kuhakikisha inakuwa na furaha muda wote

Kazi yangu ni ualimu, nafundisha shule moja ya msingi hapa jijini Dar es Salaam katika Wilaya ya Ubungo. Kutokana na kazi yangu, ilinibidi niwe natoka  nyumbani saa 7:00 asubuhi na kurudi nyumbani saa 10:35 jioni, ratiba yangu ilikuwa hivyo kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa na siku za wikiendi nilikuwa nazitumia kukaa nyumbani na familia yangu.

Siku ya Jumapili, mke wangu alienda sokoni na kuacha simu yake nyumbani, mara simu yake ikaanza kuita, nikapokea na kusikia sauti ya baba mwenye nyumba, nikaongea naye ambapo aliniambia alikuwa anahitaji kufahamu kama maji yanatoka. Nikamjibu kwamba maji yanatoka bila shida.

Mke wangu aliporudi kutoka sokoni nikamwambia kuwa baba mwenye nyumba amepiga simu anauliza kama maji yanatoka, ghafla mke wangu alibadilika na kukasirika kwa nini nimepokea simu yake bila yeye kuwepo.
Sikuweza kufuatilia sana baba mwenye nyumba alipata wapi namba ya mke wangu wapi wakati mimi ndiyo huwa nawasiliana naye kwa jambo lolote hapo nyumbani.

Siku zilizidi kusonga mbele, ilipofika likizo ikabidi watoto niwachukue na kuwapeleka nyumbani kwetu jijini Arusha na kumuacha mke wangu Dar es Salaam.
Ilitakiwa nikae Arusha na watoto kwa muda wa wiki mbili kisha ndiyo turudi Dar es Salaam. Baada ya wiki moja, nilipokea simu kutoka kwa mkuu wa shule kuwa nahitajika kurudi kwani kuna semina ambayo natakiwa kuwepo.

Asubuhi na mapema niliianza safari ya kutoka Arusha kurudi Dar es Salaam na sikuweza kumpigia simu mke wangu kwa sababu nilitaka kumfanyia ‘sapraiz’.
Tulifika Ubungo saa 11:30 jioni kisha nikapanda basi la mwendo kasi hadi  Gerezani ili nikapande daladala za kwenda nyumbani. Baada ya muda, tayari nilikuwa nimefika nyumbani. Ilikuwa ni majira ya saa mbili kasoro za usiku.
Ghafla nilipokaribia dirishani kwangu, nilisikia sauti ambayo nimezoea kuisikia hasa nikiwa kitandani, nikasogea zaidi ndiyo nikasikia miguno ya mke wangu kuonesha kwamba alikuwa na mwanaume mwingine kitandani.
Maneno na sauti alizokuwa anatoa mke wangu zilinifanya niishiwe nguvu na kuhisi kama vile naota. Nikajikaza na kuingia ndani, nikasukuma mlango wa chumbani.

Wote walishtuka, hapo ndipo baba mwenye nyumba akanitolea maneno makali ya kashfa.
“Mwanaume gani usiyeweza kumridhisha mke wako kitandani?”
Nilipandwa na jazba kali, nikataka kunyanyua mkono lakini akaniambia: “Niguse utaona kitakachokukuta na bado nakudai kodi ya mwezi uliopita!”

Hakika nilipoteza nguvu na kubaki nimesimama, baba mwenye nyumba akapita na kuondoka zake. Baada ya nusu saa pia mke wangu aliondoka bila hata kuniaga. Usiku kucha sikuweza kupata kabisa usingizi.
Nilijiuliza wapi nimekosea na kwa nini mambo haya yananikuta mimi? Kesho yake asubuhi nilipiga simu ya mke wangu lakini haikuwa ikipatikana, baada ya saa kadhaa nikapiga tena, akapokea na kusema kuwa eti nisimtafute tena, nitafute mwanamke mwingine wa kuoa.

Majibu yake yalinichanganya sana, nikawa nafikiria nitawalea vipi watoto wangu bila mama yao kuwepo?
Baada ya wiki moja kupita bila mke wangu kuwepo nyumbani, watoto walirejea kutoka Arusha, nikaenda Ubungo kuwapokea na kuwaleta nyumbani.

Nilipowafikisha nyumbani, mtoto wetu mdogo Anna akaniuliza mama yupo wapi? Hakika nilihisi kama mtu mwenye kidonda kikubwa na mtu anakuwekea chumvi ndani ya kidonda hicho kwa uchungu na maumivu niliyoyapata baada ya mwanangu kipenzi kuniuliza swali hilo.

Siku moja nikiwa naperuzi Facebook, nikaona mtu ametoa ushuhuda jinsi alivyopata vitu vyake vilivyokuwa vimeibiwa wakati akisafiri kutoka Mombasa kwenda Nairobi.
Pia alikuwa ameweka namba hii +254 768 875 707 ya Doctor Kiwanga ambaye alimsaidia kupata vitu vyake. Kwa haraka nikachukua na kupiga moja kwa moja, simu ikapokelewa na nikajieleza vizuri na mtaalamu huyo, akaniambia atanisaidia kitu kiitwacho ‘marriage spell’ na ndani ya siku 2 nitapata majibu.

Kesho yake asubuhi, nilimuona mke wangu mlangoni. Nilivyomtazama usoni alishindwa kunitazama na kuanza kutoa machozi huku akiomba msamaha.
Nilimsamehe na akaniahidi kwamba hatarudia tena, muda huo nilishika simu yangu na kumpigia tena Doctor Kiwanga na kumweleza kuwa mke wangu amerudi na kuniomba nimpe adhabu yoyote lakini nimsamehe.

Doctor akanambia ndani ya siku 3 nitasikia habari kuhusu baba mwenye nyumba kwa kile alichonifanyia. Hakika Mungu si Athumani, siku ya tatu kweli nilipata habari, sitasema ni nini kilichomkuta baba mwenye nyumba mpenda vya watu. Asante Doctor Kiwanga.

Post a Comment

0 Comments