Wanawake Vumilieni Kwenye Ndoa zenu...Mtaani Kugumu Sana

Unakuta mwanamke ana miaka arobaini Na tano kwenda juu Na watoto kadhaa eti anaachika anaenda kupanga au kuishi kwa ndugu zake.
Hebu tulieni huko mtakuja kufa bure.

Ushachakazwa unarudi tena sokoni utadoda bure.pambana Na huyo huyo kama vipi aondoke yeye.

Mimi atakaenioa ajipange sana Na Mimi maana sitokaa niondoke hata akininyea kichwani kila siku. Japo Nina imani MUngu hatonipa kitu fake.

Mdau/JF

Post a Comment

0 Comments