Basi mwanaume nikajikakamua yale ya mupe huyu na huyu bili leta kwangu mwisho mtoto akajaa kwangu, hapo mamsapu kakumbatia mto home anajua mume yupo busy kazini anahangaika na mafile kumbe nahangaikia papuchii nikapita na yule dada bwana, si akapagawa mazima kwangu acha tu.
Leo kaniletea vipimo vya hospitali ana mimba yangu na kazi ameacha pale anasema anataka alee mimba yangu kwa uhuru. Nimepagawa maana ukisikia mwanaume kupewa talaka na mke ndio kwangu nipo hapa counter napata baridi ila kichwa kinawaka moto wife akijua nitaweka wapi sura yangu tena aibu kuu ni nazaa na "baamedi"ambao mmewahi kupata mkasa kama wangu mliutatua vipi maana hapa A haikai wala B haisogei
0 Comments