Ujumbe wa SMS kwa mpenzi wako anayetaka kukuacha

Tokeo la picha la love sms english


Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha
kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako
hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,
amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.

Post a Comment

0 Comments