Mambo ambayo wanaume hukosea wakati wa kutongoza


Kutongoza kuna kanuni zake kama ilivyo kanuni za kufanya hesabu, maana usipokuwa makini kujua kanuni za kufanya  hesabu ni lazima tu hesabu hiyo utakosa. Hivyo hivyo hata katika mapenzi kama hujui namna ya  sahihi ya kumtongoza mwanamke ni lazima mwanamke huyo utamkosa tu.

Yafutayo ndiyo makosa yanayofanya na wanaume wengi wakati wa kutongoza.

Kuwa na papara.
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu. mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake. Mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata kwa sababu atakufikiria sana juu ya uharaka wako.

Kuonyesha maisha yasiyo ya uhalisia.
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu. Unaaproach jaribu kuwa real. huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki  wakati si kweli.

Kutokusoma Mood ya mwanamke.
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,

Kumponda mwanamke ambaye ulishawahi kuwa naye.
Mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.

Kulalamika
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.

Hivyo ili uweze kumpata mwanamke unayempenda kila wakati hakikisha unayaepuka mambo haya kama kweli unataka  unataka mwanamke akukubali mapema.

Post a Comment

0 Comments