Akiwa mbele ya Kamisheni ya Maridhiano baada ya utawala wa Jammeh
kuanguka amesema pia alilazimishwa kumkataa mchumba wake na ahadi ya
kuolewa
Yahya Jammeh alishindwa katika Uchaguzi Mkuu lakini alikataa kutoka
madarakani hadi Mataifa ya Afrika Magharibi yaliingilia kati na Jammeh
kutorokea Guinea Ya Ikweta
Yahya Jammeh aliikimbia nchi hiyo, Januari 2017 ikiwa ni baada ya kukaa madarakani tangu mwaka 1994
Yahya Jammeh aliikimbia nchi hiyo, Januari 2017 ikiwa ni baada ya kukaa madarakani tangu mwaka 1994
0 Comments