Wanawake Mbele ya Pesa, Mimba na Ukimwi ni Matokeo tu

Kama ulikuwa huwafamu vizuri hawa wadada wa mjini
Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi
Pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi
Ukiwa na pesa ya kutosha utaweza kuwachanganya kijiji kizima
ukifulia kijiji kizima wanakuacha, utaanza kuonekana kama kituko
Aliye umba pesa kweli kaziloga. 
Ukiwa na pesa, wanawake wanacho itaji ni pesa yako tu. 
utumie condom, usitumie shauri yako mengine matokeo tu mbele ya safari utajijua
pesa imewatoa ufahamu kabisaaaaa

Post a Comment

0 Comments