Ujumbe
huu ni mahususi kwa Wanandoa, utafiti uliofanywa na wataalamu kutoka
nchini Marekani na Canada umeeleza kuwa dakika 13 ni sawa kwa tendo hilo
-
Utafiti huo uliofanywa mwaka 2008 umeeleza kuwa mwanaume anaweza kufanya tendo hilo kwa umakini na usahihi kwa dakika 5 hadi 13
Taarifa hiyo inaeleza kuwa kuzidishwa kwa dakika hizo
si kawaida na kunaweza kusababisha kifo kwa Mwanaume au Mwanamke wakati
wa tendo
-
Wataalamu hao wameongeza kuwa vijana
wengi wanafariki mapema kwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume na
hamasa ya mapenzi, dawa hizo ni hatari kwa afya
0 Comments