NYOTA wa mchezo wa tennis duniani, Serena Williams, wa Marekani, ametupia katika mtandao wa Instagram picha ya mwanaye wa kike, Olympia (2) alivyoshiriki akiwa mmoja wa watoto waliomwaga maua mbele ya maharusi wakati wa ndoa moja iliyofanyika Jumamosi iliyopita, Oktoba 19.
Picha hiyo inayomhusisha pia, Alexis Ohanian, mume wa Serena. ina maelezo ya kumpongeza Olympia katika jukumu lake alilofanya siku hiyo.
‘She took her flower girl job very seriously!!! @hexner14 @js_poodles congrats. So happy for you both, ‘ aliandika Serena Williams katika maelezo ya picha hiyo.
Matukio katika Picha:

0 Comments