YAFAHAMU MAMBO YANAYOWAFANYA WANAUME KUWA WAVIVU KITANDANI

Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au hamfikishi katika penzi.

Lawama hizo wamekuwa wakiwatupia wanaume bila kuangalia uhalisia wake.

Ukweli ni kuwa wanawake wenyewe ndo wamekua chanzo kikubwa cha kuwafanya wanaume kuwa wachovu wanapokuwa faraga au wanapofanya mapenzi.

Sababu mojawapo zinazochangia ni suala la uchafu hili limekuwa ni kero kwa wanaume na kumfanya asitamanu ule mchezo.

Wanawake siku hizi wanashindwa kujifanyia usafi ipasavyo miili yao kitu kinachosababisha mwanaume kukereka na hamu kwisha.

Mwanamke unatakiwa kuwa msafi kila wakati ili kumvutia mwanaume wako yaani kila akikuona anapagawa na wewe. Akiwa kazini anakuwazia.

Hivi unapokuwa mchafu unazani anakuwaza hawezi hata ukiwa naye kitandani anakuwa mchovu wa kufanya mapenzi.

Usikubali mpenzi wako awe mchovu wa mapenzi hapo ataanza kutafuta nyumba ndogo unaangaika kutafuta wachawi kumbe mchawi ni wewe mwenyewe.

KUTOKUWA MUWAZI:
Hili ni tatizo kubwa, wanawake hawapo wazi kama hawajatosheka kitandani hivyo wanaenda kulalamika nje na pindi mume apatapo taarifa hunyong’onyea kwa sababu anajua watu wanajua mkewe hamtoshelezi.


Kama mpenzi wako hakutosholenzi muambie ukweli usiende kumzungumzia vibarazani ongea naye mubashara my mume hujanifikisha kileleni naomba unipe penzi jingine na unifikishe.
Hapo mwanaume lazima ahakikishe anakufikisha wanaume hawapendi kuambiwa hawajui mapenzi lazima akufikishe kunako.

LUGHA CHAFU:
Lugha ni nguzo nyingine inayochangia tatizo hii, unakuta mume maumbile yake madogo, badala mwanamke kutumia lugha nzuri anatumia lugha za kashfa kitu kinachomfanya mume kupoteza kujiamini.
Wanawake mnatakiwa kuwa na lugha nzuri sio tu kwa mpenzi wako hata kwa watu wengine.

Mpenzi wako unapompa maneno machafu usitarajie anaporudi nyumbani atatamani penzi hawezi, hivyo jifunze kuwa na lugha yenye mvuto.

USHIRIKIANO:
Wakati wa tendo unakuta mwanaume anashughulika lakini mwanamke amelala kama hakuna kinachoendelea hali hii inakera sana.

Unatakiwa kutoa ushirikiana kwa mpenzi wako mnapokuwa faraga sio kumuachia mwenzako ashughulike mwanzo mwisho.


Unapokuwa mtegevu unamchosha mwenzako na kumfanya kuwa mchovu katika penzi.

Ukitoa ushirikiano unakuwa unsmpahawisha zaidi mwenzako wako na kumfanya azidi kulipa vitu adimu na kufika kileleni kwa ushindi yenye raha ya aina yake ambayo huwezi kumsimulia mtu huo utamu wake.

Post a Comment

0 Comments