UKIWA KARIBU NA MPENZI WAKO NA AKAPIGIWA SIMU NA KUONGEA HIVI JUA ANACHEPUKA

Ukiona anapigiwa tu Simu ukiwa nae halafa anaonyesha Kushtuka, Kutetemeka huku macho yake yakiwa hayatulii na kuna muda anajichekesha chekesha au anaanzisha Mada zisizo na Miguu wala Kichwa halafu akiwa anaongea na hiyo Simu ukayasikia maneno kama....sikusikii vizuri....wewe nani?.....naaam.....ndiyo....ndiyo....weka Simu yako vizuri napata taabu Kukusikia....hawajambo tu.....sawa....hapa unatakiwa ujue ya kwamba aliyempigia hiyo Simu ni Msaidizi wako ama katika Mbunye na Demu wako au Mkuyenge wa Bwana wako.

Kaeni chonjo!

Nawasilisha.

Post a Comment

0 Comments