UJUMBE WA IRENE UWOYA WAZUA GUMZO

Mlimbwende kutoka kiwanda cha ‘Bongo Movie’ Irene Uwoya ameandika ujumbe ambao umezua gumzo mtandaoni huku watu wakihisi kuwa amemuandikia aliyekuwa mpenziwake Dogo Janja

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Uwoya ameandika ujumbe unaosomeka hivi;

“Angalia wenzako…
Msemo huuu umepeleka watu jela ,ndoa zakutojiandaaa,and early graves …be careful !
Pia sisi kama wazazi kwa namna moja ama nyingine huwa tunakosea sana pale ambapo hutaka kufananisha maisha na mafanikio ya watoto wengine na Mtoto/watoto wetu na tena mpaka kufika hatua kuwafanya watoto wetu wajisikie hawastahili na kufikia maamuzi ya kufanya mabaya yasiyo stahili tukisahau kila mmoja ana bahati,fungu na Baraka zake kwa muda stahiki pia kwa juhudi na kudra yote yanawezekana.”

Katakana na ujumbe huo Wengi wamepigwa na butwaa na kuanza kutoa comment mbalimbali huku wengine wakisema kuwa ujumbe huo ni kama ilivyo ndoa yake na Dogo Janja.

Post a Comment

0 Comments