Modo mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameweka wazi kuwa, mwanaume ambaye atamuoa haangalii ambaye anatoa mamilioni ya fedha, bali anaangalia meu ambaye zupo vizuri kwenye mahaba hata aktiva mahali elfu hamsini
Sanchi amesema wengi wanadhani kulipiwa mahari kubwa ni ufahari, lakini wanapoingia kwenye ndoa wanakutana na mambo ambayo hawawezi kuyahimili hivyo kuachika.
“Mama yangu amenifundisha vizuri sana kuwa nisione mtu anataka kuniposa kwa mamilioni nikajua ndiyo nimepata, bora hata mtu atoe elfu hamsini, lakini akawa yupo vizuri kwenye mahaba,” alisema Sanchi.
0 Comments