Kwa sasa staa wa muziki ambaye amefanya mtandaoni kuwe na fujo ni Juma Jux. Siku chache zilizopita staa huyo ni kama amemtambulisha kiaina mpenzi wake mpya kufuatia tetesi za kuacha na aliyekuwa mpenzi wake, mwanamuziki maarufu zaidi wa kike nchi kwa sasa Vanessa Mdee.
Kabla ya uhusiano wao kuvunjika, Jux na Vanessa ilikuwa ni ‘couple’ inayopendwa zaidi Tanzania na hadi kufikia kufananishwa na wanamuziki mashuhuri Marekani na duniani kwa jumla Jay-Z na Beyonce.
Taarifa za kuvunjika kwa uhusiano wao ziliwekwa wazi na mdogo wa Vanessa Mdee, Mimi Mars kabla ya Vanessa mwenyewe kuja kutangaza hadharani kuhusu ‘break up’ yao. Hata hivyo Vanessa amesema kwamba yeye na Jux watabaki kuwa marafiki wa karibu dawamu dumu na kwa kuhakikisha hilo, hivi karibni wametoa ‘hit song’ ya inayokwenda kwa jina la ‘Sumaku’
Hata hivyo, siku chache zilizopita Vanessa ametoa wimbo mwingine wenye mahadhi ya majonzi unaojulikana kwa jina la Moyo, ikiwa ni siku chache tu zimepita kufuatia picha za Jux na mpenzi wake mpya kuzagaa mtandaoni wakiwa mapumzikoni katika Hifadhi ya Wanyama ya Serengeti.
Baada ya picha hizo kusambaa watu wengi wakabaki na wakijiuliza maswali mengi kwamba, mwanadada huyo ni mpenzi kweli wa Jux au ni njia za kuupa umaarufu zaidi wimbo wake.
Ni kweli huyo ni mpenzi wake, ni mwanadada wa kichina anayejulikana kwa jina la Nayika na hivi karibuni amehitimu mafunzo ya shahada ya udaktari wa upasuaji katika Chuo Kikuu cha Southern medical kilichopo nchini China baada ya miaka sita ya masomo.
Angalia picha zake za mahafali wakati akihitimu chuo hapa chini:
Picha nyingine akiwa anatalii hizi hapa
View this post on Instagram
the only good cage is an empty cage. #wildlife Photographer @bm.visuals
A post shared by NAYIKA (@nnayikaa) on Jul 2, 2019 at 2:22pm PDT
View this post on Instagram
A post shared by NAYIKA (@nnayikaa) on Jul 3, 2019 at 12:43am PDT
View this post on Instagram
I have whole year for vacation Photographer @bm.visuals
A post shared by NAYIKA (@nnayikaa) on Jul 2, 2019 at 7:56am PDT
View this post on Instagram
You go where you feel most alive Photographer @bm.visuals
A post shared by NAYIKA (@nnayikaa) on Jul 1, 2019 at 12:35pm PDT
0 Comments