JUSTIN BEIBER AOMBWA KUACHA KUMMENDEA MPENZI WAKE WA ZAMANI

Justin Bieber (25) ameombwa kuacha kuwasiliana na Ex wake Selena Gomez,26, baada ya kufunga ndoa ya Hailey Baldwin.

Selena ameonekana akiwa na afya nzuri kwa mara ya kwanza hivi karibuni wakati anatangaza filamu yake mpya 'The Dead Don’t Die' katika tamasha la Cannes na alithibitisha kupata jumbe zaidi ya moja kutoka kwa Justin Bieber.

Wawili hawa waliachana rasmi March 2018 na sasa Justin ameanza kuwasilia na Selena tena wakati ni mume wa Hailey Baldwin.

Post a Comment

0 Comments