ZARI: MUDA MWINGINE NAKUWA KAMA CHIZI YANI

Mrembo Zari The Bosslady amefunguka ishu ya kuongeza watoto ukiachana na wale wa tano aliokuwa nao.

Zari amesema kuwa kwasasa anaenda kuolewa na Mume mwenye mtoto mmoja huku akitamani kupata watoto mapacha wa kike na wa kiume.

"Saa nyingine nakuwaga chizi na kuongea vitu ambavyo sipaswi kusema lakini mimi pia ni binadamu, mimi ni Mama mzuri na ni Mfanyabiashara mzuri, sasa hivi naenda kuolewa na mume wangu ana mtoto mmoja, natamani kupata mapacha labda wa kike na wa kiume,” alisema Zari.

Post a Comment

0 Comments