WAZAZI WA HARMONIZE WAMJIA JUU SARAH KUHUSU PICHA ZAKE MITANDAONI

Kuna msemo unasoma ukienda Rumi ishi kama Warumi!

Hebu anza na kavideo haka katamu kutoka kwa Konde Boy cha yeye na mpenzi wake.

Ebwana licha ya kuwepo uvumi ulionezwa kwa kasi na yule mwanadada wa anayekaa Marekani kuwa Harmonize ama Konde Boy juu ya kupata mtoto nje.Hali inavyoonekana bado penzi lake na mrembo kutoka Italia, Sarah na Msafi huyo bado liko imara.

Harmonize ni lazima atakua kwenye penzi zito sana na muitaliano huyo kwakua anamshirikisha karibia shughuli zake zote azifanyazo. Ukiangalia hata baadhi ya perfomances na baadhi ya nyimbo amethubutu kumtaja mpenzi huyo.

Haya twende kwenye mada husika kwanza siku ya juzi Harmonize alishare kwenye insta story yake akiwapa magari wazazi wake na alisikika kumuita baby wake Sarah aje awachagulie magari baba na mama yake.

Cheki hapa picha Sarah alivyotoka ndani..

Sarah akitoka ndani baada ya kuitwa na Harmonize akiwa amevalia kinguo fulani hivi cha kinyamwezi.

Hiki ndicho kilichowakasirisha wabongo bana mtandaoni wakidai kuwa sio utamaduni wetu na kwenda mbali zaidi na kudai huwezi kuwa mbele kwa wakwe zako na kuwavalia alichovaa Sarah. Cheki hapa baadhi ya koment za wananchi wa mtandaoni (Netzens)

Baadhi ya mashabiki wao waliingilia kati suala hilo kwa kuanza kumpa somo bibiye kuwa huo sio utamaduni wa mtanzania. Hope hatorudia sio kwa komenti hizi..

Kweli jamani lakini mbele ya wakwe kuvaa vile mhh sijuw labda mm mshamba nibaki iviivi😢😢😢

Sarah mama ulishindwa vaa ata diraa… Sema fresh pesa kumaanina apo ata ungevaa bikini 👙 mbele ya mkwe fresh🤣💃💃💃 SITAKI huu Uzungu kwa wanangu😆….. Aaamin inshallah

Ila ata kama n uzungu sio Vizuri mwanamke kuvaa mavazi kama ya Sara mbele ya wakwe zake 😆

Sasa uyo mzungu ndo kashindwa jistiri jaman mbele ya wazaz mhh

Hicho kimini

Sema it seem Harmonize yuko sawa na mavazi ya baby wake huyo, kukukumbusha tu kuwa Harmonize ashawahi mtumie baby wake huyo kama video vixen kwenye wimbo wake wa Niteke uliokuwemo kwenye Ep ya AfroBongo. Enjoy hapa!

Post a Comment

0 Comments