NANDY AELEZA KILICHOKATA MAWASILIANO BAADA YA AJALI

Nandy ameeleza katika kipande fupi cha video alichokichapisha katika mtandao wake wa insta kilichokata mawasiliano baada ya tukio la ajali mkoani Morogoro.

Soma hapa:

Tukio la ajali katika msafara wake wa kufika na kuwakonga nafsi mashabiki mkoani Sumbawanga limewafanya wakapigwa na butwaa waandalizi wa tamasha na wasanii waliokuwepo kwenye gari.

“Msiwe na wasiwasi tunakuja. Tulikuwa hatupatikani kisa network.” asimulia Nandy.

Nandy ameweka wazi kuwa gari lililopata ajali ni ya madensa na viongozi wa bendi kati ya wengineo. Waliopata majeraha wamekimbizwa mjini Dar kutibiwa zaidi.

Soma hapa:

“Gari ya pili ya timu yetu ndio imepata ajali. Gari ya wasanii ipo njiani tunakuja tupo Iringa.” asema Nandy.

Photo Credits: Courtesy

Post a Comment

0 Comments