Baadhi ya wanaume wamekuwa wakiwalazimisha wapenzi kufanya mambo fulani wanapokuwa faraga.
Hapa nataka tueleweshane muache mwanamke wako akufanyie kile ambacho anajisikia kufanya kwa wakati huo usimlazimishe, mapenzi hayaendi kwa kulazimishana.
Wapo wanaume humlazimisha mwanamke amnyonye uume wake hii sio jambo nzuri muache afanye kile ambacho anajifikia kukufanyia.
Vipo vitu vingine vya kukufanyia na ukapata msisimko hivyo usilazimishe ama kutumia amri mnapokuwa mpo faraga. Kunyonya uume sio kazi nyepesi ni kipaji cha mtu wapo wanawake wengine wanaona kinyaa, hivyo huwezi kumlazimisha.
Umemuomba akunyonye akikuambia hawezi kufanya hilo jambo usichukulie hasira ama kumlazimisha vipo ambavyo anaweza kukufanyia ukasisimuka zaidi na kuanza kuipeperusha bendera yako taratibu mpaka ukafika kileleni na kufurahia hali ya mawingu.
Mwanamke unaweza kuanza kwa kubusu koni yako kwa mtindo wa kulamba maeneo yaliyo karibu na uume hasa sehemu ya ndani ya mapaja, anza paja la kulia na hamia paja la kushoto.
Unapokuwa unaendelea kumlamba tumia mkono wako mmoja kumshika sehemu ya kiunoni pale karibu na uume wake.
Utaona uume unaanza kusimama, ili usikuharibie utamu wa kubusu ushikilie kwa mkono wako mwingine kama vile umeshika koni kwa juu na peleka mkono huo juu na chini huku ukiendelea kubusu na kulamba.
Hakikisha mkono wako unaupandisha juu na kuushusha hamishia mdomo wako kwenye pumbu yalambe taratibu huku ukiyalowesha na mate na kisha pitisha ulimi wako taratibu.
Wakati unalamba katika hayo maeneo inahitajika utaalamu bila hivyo unaweza kumuumiza mwezako maana yale maeneo yanahitajika umakini wa hali ya juu najua umenielewa vizuri.
Ukishafanya vurugu zako katika hiyo idara wakati unaelekea katika mashine tumia mkono wako kwenda juu na chini ukimaliza anza kunyonya chini ya mashine.
Unaweza kulamba kuanzia juu ya mashine na kushuka chini inategemea na unavyoweza pia unaweza kulamba kwa nje na wenzangu na mie unaweza kuiingiza mdomoni. Wapo baadhi ya wanaume hukojoa kwa kufanyiwa hivyo.
Badili mwelekeo shusha mkono wako na shika kule mwishoni mwa shina la uume au juu ya mashine kufanya hivi kutakusaidia wewe kujua kiasi gani cha uume unaweza kumudu ndani ya mdomo wako hasa kama unataka kumpeleka mpaka kwenye koromeo.
Kama sio mtaalamu unaweza kujikuta unatapika gafla ni heri ukajipimia kidogo kidogo usiifikishe katika koromeo fanya vile unavyoweza.
Unapokuwa unamnyonya uume zingatia katika kichwa chake pale ndio kwenye msisimko tumia lips zako vizuri usije kumuumiza na meno nilishasema hayo maeneo ni ya umakini sana, hivyo unaweza kujifanya hauna meno unapokuwa unajilia koni yako chezesha vizuri lipsi zako.
Jitahidi kutumia mikono yako miwili ili kumuongezea raha mmoja unacheza na pumbu na mwingine unachezea mashine kutoka juu na kushuka nayo kwa chini.
Kama huwezi kunyonya unaweza kufanya hayo mengine niliyokuelekeza sio lazima kufanya kile ambacho hukiwezi ukiwa faraga.
0 Comments