MAMBO 5 AMBAYO WANAUME HAWAPENDI KUYAZUNGUMZA KATIKA MAHUSIANO

Kila sekundi 40 mtu hujitoa uhai duniani. Mara nyinig huwa ni wanaume wanaoamua kujitoa uhai, kwa kiasi fulani kutokana na kwamba ni nadra wao kuzungumzia matatizo yao au kutafuta usaidizi. 



Basi ni mambo gani ambayo wanaume wanapaswa kuyazungumzia wazi zaidi?
Mitandao ya kijamii dhidi ya maisha halisi

Matumizi ya mitandao ya kijamii huenda yakaathiri afya ya akili.

Utafiti kutoka chuo kikuu cha Pennsylvania umebaini kwamba muda mwingi tunakuwa katika mitandao ya kijamii, inatuweka katika hatari ya kujihisi mpweke na kuwa na msongo wa mawazo.

Lakini hili linaweza kubadilika.

"Kupunguza kutumia mitandao ya kijamii inasaidia kupungua pakubwa msongo wa mawazo na upweke," anasema mhariri wa utafiti huo na dakatari wa magonjwa ya akili Melissa Hunt. "Athari hizi zinajitokeza pakubwa kwa walio na kiwango kikubwa cha msongo wa mawazo alipofika kushiriki katika utafiti huo."

Lakini mitandao ya kijamii inadhuru vipi?

Kinachofanyika katika mitandao ya kijamii ni nadra kuwa yaliomo katika maisha halisi ya mtu... Continue reading ->

Post a Comment

0 Comments