LULU AWASHANGAA WATU

Muigizaji wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa kitu kizuri katika maisha ni kujikubali lakini anashangaa wanawake wengine wanashindwa hata kufanya mambo yao kwa kutojikubali.

 Akilizungumzia hilo Lulu alisema wanawake wengi wanakuwa hawapendi kujikubali, mwingine anaogopa hata kutoka nje bila kujiremba kwa sababu anaamini bila kufanya hivyo haonekani mrembo.

“Mimi naamini kabisa kila mwanamke akijiamini atafanya vitu vingi vikubwa duniani kama siku hizi wanawake au hata mastaa hawawezi kutoka bila kujiremba hiyo ni kukosa tu kujiamini

(Visited 1 times, 1 visits today)

Post a Comment

0 Comments