Kuna watu huwa nawashangaa sana, yaani unakuta mtu anaona kabisa dalili za kwamba mwenzake sio muaminifu halafu anaendelea nae tu, na wengine unakuta ndio anamuonya mwenzake lakini anaona kabisa hajabadilika lakina bado eti unakuta anendelea nae hadi mwisho wa siku anapomfumania kabisa na kupata maumivu makali moyoni ndipo anaamini na anaanza kujutia na kusema laiti ningejua......halafu anakuja kulialia hapa JF kuomba ushauri....jamani kuwa mtu wa kusoma alama za nyakati na sio wewe eti bendera ivumapo kusini na wewe upo tu hata uangalii situation....ni hivi jamani;
1. Kama upo na mpenzi ambaye ukigusa tu simu yake anakuwa mkali kama pilipili, jua huyo ana wengine,yaani amewapanga na anawasiliana nao wote na hataki ujue kwasababu ukijua anajua ndio mwisho.
2. Kama upo na mpenzi ambaye anapenda kuvaa nguo za kuonyesha maumbile yake na hata anaweka picha za kubinua makalio huko fb,insta na hata WhatsApp na unakuta likes nyingi...aisee jua haupo pekee yako hapo.
3. Kama upo na demu ambaye hapendi kuvaa chupi, bro jua hapo haupo mwenyewe.
4. Kama upo na mpenzi ambaye ana hizi Apps za Dating kwenye simu yake Badoo,Ockupid n.k...jua haupo mwenyewe hapo.
5. Kama upo mpenzi ambaye mara nyingi yeye hataki muongee kwenye simu yeye anapendelea tu mchat, jua hapo haupo mwenyewe.
6. Kama upo na mpenzi ambaye unamuona anachat kila mara lakini ukigusa simu yake unakuta inbox zote empty na call logs empty....jua hapo haupo mwenyewe.
7. Kama upo na demu ambaye unaona anajuana na mabodaboda karibu wote mtaani.....bro jua hapo haupo mwenyewe.
8. Kama upo na mwanaume ambaye siku zote haongei na wewe vizuri ila akitaka mzigo ndio anaanza kukubembeleza....dada, jua hapo haupo mwenyewe.
9. Kama upo na mpenzi ambaye hapendi watu wajue upo nae,yaani anataka mapenzi ya siri na wewe. Yule ambaye mkitembea anakwambia tangulia nakuja tu, hataki kutembea na wewe....jua hapo haupo mwenyewe.
10. Kama upo na demu ambaye amevaa kikuku mguuni, amevaa shanga kiunoni, amevaa cheni kiunoni.....bro jua hapo haupo pekee yako.
11. Kama upo na demu ambaye yeye ndio anakuomba umle tigo....bro jua hapo haupo pekee yako.
12. Kama upo na mwanaume ambaye ana marafiki wa kike wengi.....dada hapo haupo pekee yako.
13. Kama upo na demu ambaye akitembea anapenda kutingisha matako....jua hapo haupo mwenyewe.
14. Kama upo na mpenzi ambaye kwenye simu yake amesave watu kwa majina yasiyoeleweka au ya kufikiria tu au wengi amesave namba tu......jua hapo haupo mwenyewe.
15. Kama upo na mpenzi ambaye Whatsapp ameficha "last seen" jua hapo haupo mwenyewe.
16. Kama upo na mtu ambaye hakutafuti kwenye simu hadi wewe ndio uanze..jua haupo pekee yako hapo.
17. Kama upo na mpenzi ambaye yeye anapenda tu kuongelea masuala ya ngono na wewe lakini haongei kuhusu maendeleo na malengo.....jua haupo pekee yako hapo.
20. Kama upo na mtu ambaye mara nyingi ukimtumia sms inajibiwa baada hata ya lisaa ila yeye akiwa na shida na wewe ukichelewa kumjibu anakasirika....juà haupo pekee yako hapo.
21. Kama upo na mpenzi ambaye wewe unajivunia na kushow love kwa kumpost WhatApp kwenye birthday yake na siku zake muhimu lakini yeye hajawahi kukupost hata siku moja ila unaona anapost watu wengine anaodai ni rafiki zake.....jua haupo mwenyewe hapo
22. Kama upo na mwanaume ambaye umeshatoa mimba zake zaidi ya moja...jua haupo pekee yako hapo
23. Kama upo na demu ambaye ukimwambia huna hela anachukia na ukimpa hela ndio anajifanya anakupenda zaidi...jua hapo haupo mwenyewe.
24. Kama upo na mpenzi ambaye mara nyingi unamuona yupo online na ukimtext hajibu au ni yule anayependa kukujibu short kama ok,fine n.k.....jua hapo haupo pekee yako.
25. Kama upo na mpenzi ambaye mara nyingi ukimpigia mida ya usiku sana anakuwa busy na ukitaka kuongea nae anakwambia anasikia usingizi....jua haupo pekee yako hapo.
TAMBUA: Asilimia kubwa ya watu hulipa hela ilia waendelee kupendwa zaidi katika mahusiano
TAMBUA; Mwanamke anaweza akakupenda kweli ndio hata kama huna hela ila kutokana na hali ya maisha wakati huohuo huwa na mwanaume mwingine wa kumchuna.
TAMBUA; Mwanaume anaweza kuwa na mwanamke ambaye hata ni mzuri kuliko wote duniani na akamcheat kwa kutembea na mwanamke ambaye hafikii hata robo ya uzuri wa mkewe
USHAURI 1; Jaribu kuridhika na ulichonacho, huku ukimuomba MUNGU hakika utafika unapotaka.
USHAURI 2; Unapoona dalili za usaliti katika mahusiano yako jaribu kumuonya na kumbadilisha mpenzi wako ila ukiona bado habadiliki, tafadhali ni bora tu ujiondoe mapema kabla hujaumia zaidi.
***IELEWEKE KWAMBA HAPA NAONGELEA MAHUSIANO AMBAYO YAPO SERIOUS YENYE MALENGO YA NDOA***
0 Comments