CHUCHU HANS ATEMA NYONGO KWA RAY KIGOSI

Mwigizaji kutoka Bongo Movie, Chuchu Hansy amefunguka kuhusu mzazi mwenzake Vicent Kigosi (Ray), kuwa baada ya kupata mtoto wao aitwaye Jaden, Ray alijiona baba mpaka wa watoto waliokomaa

"Happy Birthday baba @jadenthegreatest baba mwenye jeuri zako baada ya kupata mtoto ukajiona baba mpaka wa watoto wakubwa waliokomaa."

Ramadhani iii No matter what Nakutakia Happy Birthday MUNGU azidi kukuweka inshaallah uje mleane na mwanao sina zawadi kubwa zawadi yangu ni @jadenthegreatest na natumai ni zawadi ya milele na yenye historia kwako..Enjoy ur day," ameandika Chuchu kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment

0 Comments