Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba amefunguka kiuhusu kinywaji chake cha Mofaya kutopatikana madukani kwa sasa licha ya mara ya mwanzo kuanza kupatiukana madukani.
Akiongea kwenye kipindi cha Playlist cha TimesFm, alikiba ameongea na kusema kuwa “Kinywaji hicho kutopatikana madukani moja sababu ni kulodge upya lakini pia kinatakiwa kuandikwa kiswahili baadhi ya maandishi yaliyopo kwenye kinywaji hicho”
0 Comments