One more time!!!
Mimi ndimi, a.k.a MAJITU MWITU MSITUU!!
Aseeeeee!
Ebbanaa Dada zangu wapendwa nimefanya utafiti Wangu, sisi wanaume wa kitanzania hatupendi wanawake wanaovaa mawigi, tunapenda muweke dawa lakini msivae mawigi.
Sio kwamba tunakwepa gharama, inaleta u'natural flani hiviii kwa mwanamke!
Comrade siwezi kukuacha hivihivi nimekuja na mifano.
Ohhooooo
Wayaaaaa
Yuleeeeeee
0 Comments