Lengo analijua yeye mwenyewe.
Kuna waziri wa south Africa video yake ilivuja ..
Alijiuzuru lakini alisema alirecord kwa matumizi yake na mke wake na hua wanafanya hivyo kwa muda mrefu lakini bahati mbaya wabaya wake wakamuhack..
Inawezekana na gwaji boy alirecord kwa matumizi yake mwenyewe.. kwenye psychology kuna watu wa aina tofauti tofauti na jinsi wanavyoridhishwa na mapenzi...
Kuna wengine wanapenda kufanya mapenzi na watoto ,kuna wengine wanapenda kutumia nguvu sana ndio wanaridhika na wengine wanapenda kujirekodi au apate ile sense ya kuwepo kwa third part ndio wanaridhika sasa inawezekana mzee baba yuko hapa (hii ni theory tu.. ukweli anaujua yeye mwenyewe)
0 Comments