ahahaha ni clear kabisa hatuez endelea me nimeleta apa ili iwe mfano kwa watu wengine na trust me she was a decent woman sasa ameshasuck alot of lolipops hadi ananionea huruma, she is the one who told me me nlikuwa sijui kitu kama asingeniambia ningekuja kujulia mbelen labda wakati damage ishafanyika
0 Comments