Hapa sizungumzii ma ex ambao mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu kama mmoja kwenda nje kimasomo, kuhamishwa kikazi, kufungwa jela. n..k
Wanawake mlioolewa, je ex wako ambae hamkukosana bali mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu ukikutana nae leo una ujasiri wa kukataa kuchepuka nae?
0 Comments