
sipoangalia Haya mambo ya Ma love yanaweza kukuua, Hawa viumbe wa kike Muda mwingine ni hatari sana.
Unakumbana na yale majibu ya *I dont deserve you* Please give me space, * Wewe huna mbele wala Nyuma wakiitwa wanaume na ww utasimama?

Basi tu ni karaha zote.. Kadada kanataka pesa ya msuko kila siku, i phone x kauze sure instagram Na zile msg za "Jaman nisaidie elf 50 please*

unapambana vyote halafu Mwisho wa siku kanakwambia * Please it is over*
0 Comments