Mkuu aina ya upendo na aina ya mwanamke unayemuongelea au kumtengeneza kwenye mawazo yako hayupo katika ulimwengu huu wa sasa ukubali ukatae,, huo upendo unaouongelea wewe ni mapenzi ya kwenye tamthilia au sinema kama titanic na kuendelea. ila kiuhalisia upendo huo duniani uliisha pale msalabani alipoteswa Yesu.
hakuna mwanamke atakaevumilia umaskini wako hata siku moja, yani aone wenzake wanavaa vizuri wanaenda saloon, wanatolewa out n.k halafu aendelee kua na wewe ni ngumu sana.
Kuna muda mwanamke atahitaji kupendeza kama wengine, atahitaji kitu fulani lakini atashindwa kukwambia sababu anaona hautaweza kumpatia hivyo atatafuta alternative ya kufanikisha hicho kitu
Labda tukubaliane kua kama mwanamke anakupenda kweli atachepuka ila hatokupa nafasi ya kujua kama anachepuka,, hapo sawa ila tofauti na hapo upendo unaouongelea wewe ni nadharia tu sababu kiuhalisi haupo na sababu kubwa sio kwamba wanawake hawawezi wakiamua ila mfumo wa maisha tuliokua nao sasa ndio unawashape upya, mfumo wa kibepari mfumo wa pesa ndio kila kitu,
mfano; wewe na umaskini wako (sina maana kua wewe ni maskini) nakuja mimi na hela zangu nampeleka uyo mkeo au demu shopping ya milioni mbili nampa na iphone ten x u nadhani atachomoa kunipa mzigo, hata kama ni mlokole hawezi, na atanipa mzigo sio kwa sababu ni malaya hapana, atanipa mzigo sababu mfumo wa maisha tulionao sasa,,
mwisho nimalizie wanawake wemyewe wana msemo wao unasema ni bora kulia kwenye noah kuliko kulia kwenye baiskeli.
0 Comments