SIKU NILIPOEGEMEA MLANGO WA GEREZA

Stori ipo hivii.........
Wikiend flani mwaka juzi mida ya saa11 jioni baada ya kushinda home tangu asubuhi ka kazi za usafi na mambo mengine home nikasogea zangu kwa kiduka cha Mangi hapa mtaani kwetu nikawa napiga Serengeti zangu taratiiib

Mida ya saa2 akaja mrembo ambaye haishi mtaani kwetu kwa confidence ya kilaji nkamfata dukani na kumuomba namba akazingua nkampa yangu. Baada ya nusu saa akanitext mawasiliano yakaanzia hapo.

Kumbe alikua ananitext kwa simu ya mdogo wake anayesoma kidato cha tano hapa mjini. Denti akirudi shule jioni anaendeleza kuchati kana kwamba ni dada mtu na mm sijui lolote.

Yule dada akawa ameondoka kwenda kwao Tanga bila kuniaga kumbe hana simu na denti alimzingua kuendelea kutumia simu yake.

Sina hili wala lile nkawa nampanga aje kwangu akasema kwamba atakuja jmosi inayofata.

Nimekaa zangu home uzuri nyumba haina majirani wa karibu so sikuwa na wasiwasi. Mida ya saa tisa kamvua kananyesha denti (kumbuka hapo hajajitambulisha kama sio yule mdada wa mwanzo) mi nachati kichwani nkijua nachati na yule mdada akaniambia anakuja.

Ile anafika kumcheki ni mdada mrembo kuliko yule nliyekua nadhani nachati nae na miili ya watoto wa siku hizi nishiiiida, ikabidi nianze kumhoji imekuaje amekuja yeye akasema yule dada alishaondoka kitambo saana na siku zote nachati na yeye nkamwambia kwaio wewe ndo umeamua kuchukua nafasi yake akasema ndio.

Nikawaza kumrudisha kwao lakini tamaa ndo ishaniwaka. Nikamalizana nae akasepa, mara ndo ikawa mazoea. Ndani ya mwezi akadai kanasa hapo ndo mtiti ukaanza. Nlihangaika sana maana sijawahi juaga napata wapi msaada, kila nkipishana na askari magereza nahisi kama kaja kunikamata huku na kule nikapata msaada na kufanikisha zoezi. Ukawa mwisho wa uhusiano na hako kadenti.

Hawa watoto kwa kudakia mapenzi bado wadogo watatufunga bure.

Post a Comment

0 Comments