Ray C Anapitia Magumu...Aandika Ujumbe Wakutaka Kujiua


Mwanamuziki Ray C ambae kwa sasa anaishi nje ya nchi baada ya kupata Mchumba huku ameandika Ujumbe wenye utata kupitia Instagram kuwa anataka kujiua..haijaeleweka mpaka sasa ni nini anachopitia mpaka kuandika


Post a Comment

0 Comments