MREMBO AHUKUMIWA SIKU 14 KWA KUPOST PICHA HII FACEBOOK


Mahakama moja nchini India 🇮🇳 imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii ☝🏿kwenye mtandao wa Facebook.

Polisi wanasema picha hii ni ya ”utupu”.
Amewekwa rumande kwa siku 14 kuruhusu polisi wakamilishe uchunguzi.

Je picha hii ya utupu?



Post a Comment

0 Comments