Kuwa uyaone, hii Dunia imebeba mambo mengi yenye mtihani wa maisha kwetu binadamu.
Ni mwezi uliopita tarehe kama hizi za leo, mke wangu alibadilika ghafla na kuniambia maneno ambayo yalinichukiza na kunifanya nifunge safari ya ghafla ili kutokuwepo karibu naye, fahamu nina makazi ya mji zaidi ya mmoja hivyo nilikwenda mji tofauti naye ili kuepusha shari.
Baada ya siku chache tu, niliwasiliana na mke wangu kwa cm, niligundua kuna tatizo kichwani mwake kwa yale majibizano! Ilinipasa nifunge safari ya kumfata ili nijue kulikoni! Mida ya saa za jioni nilimkuta, lakini niligundua ya kwamba amechanganyikiwa. Tulilala kwa taabu sana, asubuhi nilimkimbiza hospitali ili kupata vipimo, majibu yalionyesha ni mzima wa afya na wala hana tatizo lolote lile! Ajabu aliendelea kuwa anazungumza muda wote huku akisema kuna watu anazungumza nao na kuwaona japokuwa sisi tulikuwa atuwaoni!
Shauli lililonijia ni kuwa nimpeleke kwa wataalam wa jadi! Nilimfikisha kwa mtaalam wa kwanza yeye huyu alikataa ya kwamba siku hiyo huwa afanyi kazi. Ikanipasa nimkimbize tena kwenye kijiji kingine cha jirani, hapo kuna Mtaalam wa kike, changamoto ya hapo nilikuta wanaopata huduma walikuwa ni wengino! Hata hivyo kulingana na uzito wa tatizo la mke wangu na umbali tunaotoka ilimpasa huyu Mganga atushughulikie kwanza, Mida ya saa tatu za usiku alianza kutulizwa kidogo huyu mgonjwa wetu. Tulipata huduma hapo kwa muda wa siku mbili, ghafla mgonjwa alitoweka na tulianza kumtafuta, atimaye tulipata taalifa ya kwamba ameonekana kijiji fulani kwa mchungaji na wanajiandaa kumfanyia maombi, nilimfuata na kumchukua na kumpeleka nyumbani kwangu.
Nilianza kumsomea dua mimi na baadhi ya waumini wenzangu. Hali ilikuwa inakuwa njema na baadaye kurejea tena kuwa ya utata.
Kuna kiongozi wetu mkuu kwenye dini yetu alinishauli nimtafute mtaalam wa tiba mbali mbali ambaye anapatikana kule ujiji ya Kigoma, naam nilipata namba yake ya simu na nikawasiliana naye muda huo huo, Looo! Alinieleza matatizo yote ya mgonjwa wangu baada ya kumtajia jina la huyo mgonjwa, aliniambia endapo nitaitaji huduma yake yupo tayari kuja baada ya siku tatu anachoitaji yy ni nauli ya kuja na kurudi pamoja na tshs:150000/= tu, nilituma nauli na baada ya kupokea hiyo fedha, alinipa maelekezo ya jinsi ya kumpatia huduma ya kwanza huyo mgojwa kabla ya yy kufika.
Mungu c Athuman, mtaalam alifika na kuanza tiba ndani ya wiki moja na sasa Alhamdullillah amepona kabisa na kurejea hali yake ya kawaida kabisa! Yupo kando yangu tukiwa na Upendo na Amani, stori kwa sana.
0 Comments