JAMAA ANATAFUTA MKE HUKU

Habarini zenu mimi naitwa SEME nipo makete natafuta mke wa kuoa sifa :- 
-Awe na hofu ya mungu 
-Awe na chura aka mzigo 
-Awe na swaga kali kwa maana me naendaga maeneo nakutana na watu wa maana. 
-Elimu ya kidato cha nne. 
-Awe na kazi sitaki kuombwa hela 
-Asiwe na bwawa 
-Asiwe singo maza 
-Awe mweupe. 
-Asiitwe happy au rozi hawa waliwahi nisaliti. 
Kwa mawasiliano njoo pm hapo chini ni picha yangu.

Post a Comment

0 Comments