Nina mke mmoja ambae tunapendana sana,tatizo ana WIVU kupindukia.
2.Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap,hata kama kwenye daladala nimesimama,anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo,au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakat mwingine ananiambia chukua jiwe,weka sehem flan then piga picha.
Hii inanifanya ntaokota makopo il nipige picha ili aamini,
JE NIFANYEJE MAANA TUNAPENDANA SANA
0 Comments