Baada ya kusema hayo machache sasa naomba tuone mambo yatakayokusaidia kuwa na furaha kama ifuatavyo:
- Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.
- Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.
- Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.
- Toa hata kama wewe umenyimwa.
- Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.
- Usiache kuwaombea wengine hata kama yako hayajajibiwa.
Endelea kutembelea blog hii pendwa ya muungwana blog kila wakati. Asante
0 Comments