Dereva Bodaboda Anasiana Na Mke Wa Mtu


Dereva Bodaboda Anasiana Na Mke Wa Mtu
Kamwe usimuamini dereva wa bodaboda! Ndoa nyingi zinaingia kwenye matatizo makubwa kutokana na bodaboda hawa kuwarubuni wake za watu na kuvunja nao amri ya sita, kama ilivyotokea katika kisa hiki cha kweli kinachomhusisha mfanyabiashara mkubwa ambaye mkewe alikuwa akitoka na dereva wa bodaboda.

 

Kijana huyo anayejishughulisha na udereva wa bodaboda, ameingia kwenye matatizo makubwa baada ya kutegewa mtego na hatimaye kunaswa ‘Live’ akijivinjari na mke wa mfanyabiashara mmoja mkubwa jijini Nairobi.

 

Picha lilikuwa hivi, mke wa mfanyabiashara huyo, alikuwa na kawaida ya kumtuma dereva huyo wa bodaboda aliyekuwa akipaki jirani na makazi yake kwenda kumfuatia bidhaa mbalimbali, wakati mwingine akimuagiza vyakula na shughuli nyingine nyingi.

 

Mazoea yakazaa mazoea, wawili hao wakawa marafiki wakubwa! Dereva bodaboda akatumia nafasi hiyo kupenyeza hila zake, akawa anamsifia sana mke wa mfanyabiashara huyo ambaye naye alikuwa kifaa kwelikweli!

 

Kama unavyojua tena, mwanamke ukiwa unamsifiasifia basi kazi imeisha! Bodaboda huyo alifanikiwa kumuweka mwanamama huyo kwenye himaya yake, wakaanza kuigalagalaza amri ya sita, tena kwenye kitanda alichokuwa akilala na mumewe, wakati mwingine kwenye masofa sebuleni au hata stoo.

 

Muonja asali haonji mara moja, kadiri siku zilivyokuwa zinazidi kusonga mbele, ndivyo walivyokuwa wanazidi kuzama kwenye dimbwi la mapenzi, wambea si wakampenyezea mwenye mke wake ‘ubuyu’? Patamu hapo.



Alipojaribu kuifuatilia simu ya mkewe, kweli aligundua kwamba mali yake ilikuwa ikiliwa, tena na bodaboda aliyekuwa akimfahamu! Alifuma picha na meseji za kimapenzi, kijana huyo akimsifia sanamke wa mtu kwa jinsi alivyokuwa akimburudisha!

 

Mwanaume alianza kuandaa mtego wa kumnasa bodaboda huyo na mkewe ‘red handed’ lakini mara kwa mara wakawa wanakwepa mtego wake! Ni hapo ndipo alipopewa taarifa juu ya mtaalamu wa tiba asilia, Dokta Mugwenu anayepatikana kwa namba za simu +254 740 637 248.

 

Baada ya kukutanana mtaalamu huyo na kumuelezea matatizo yake, alimhakikishia kwamba anao uwezo wa kuwafanya wawili hao ‘wanasiane’ na hilo litakuwa funzo kwa watu wengine wote wenye tabia kama hiyo.

 

Mtaalamu akafanya yake, siku ya siku mtego ukaitika!

“Nilikuwa kwenye biashara zangu nikiendelea na harakati, mara nikapigiwa simu na kuelezwa kwamba nyumbani kwangu kulikuwa na tatizo!

 

Ikabidi niache kila nilichokuwa nikikifanya na kurudi nyumbani, nikashtuka baada ya kuona kundi kubwa la watu wakiwa wamefurika nje ya nyumba yangu,” anasema mfanyabiashara huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.

 

Anazidi kueleza kuwa baada ya kupenya kwenye umati huo na kuingia mpaka ndani kwake, alishtuka baada ya kuwabamba mkewe na dereva huyo wa bodaboda, wakiwa wamenasiana mithili ya mapacha walioungana.

 

Ilibidi awasiliane na Dokta Mugwenu ambaye alimuelekeza nini cha kufanya lakini kabla ya kuwanasua, aliwaita ndugu wa dereva huyo wa bodaboda na kuwaeleza kwamba ili amnasue ndugu yao, alikuwa akihitaji fidia ya kiasi kikubwa cha fedha! Baada ya kukamilisha alichowaagiza, ndipo alipowafanyia dawa, wakatengana na kusababisha umati uliokuwa umefurika nje ya nyumba hiyo, ubaki umepigwa na butwaa.

 

Tukio hilo likamfanya Dokta Mugwenu kuzidi kuwa maarufu ndani na nje ya mipaka ya Kenya, huku mamia ya wanaume ambao wake zao wana kawaida ya kuchepuka, wakimkimbilia kwa msaada.

 

Namna ya kuwasiliana naye, ni rahisi, unaweza kumpata kwa kupiga simu namba +254768875707 au tembelea mtandao wao kwa kubofya www.kiwangadoctors.com 

Na Mwandishi Wetu

Post a Comment

0 Comments