UKO WAPI SIKU HIZI?? SWALI LINALOTUKERA WANAUME AMBAO BADO HATUJATOBOA


Moja kwa moja niende kwenye hoja, siku hizi kumekuwa na tabia ya vijana waliosoma pamoja au kukua pamoja zamani, wakikutana mmoja ataanza kumuuliza mwenzie (Mara nyingi ni Yule aliyefanikiwa) kwamba Uko wapi siku hizi?

Hili swali huwa Mara nyingi linaudhi sana endapo anaeulizwa 'yuko wapi siku hizi ' (ikimaanisha unafanya kazi wapi) , ukute ni Jobless hana kazi a.k.a kula kulala huwa linakera sana asikwambie mtu wakuu!, tena Kama ni 'demu ' ukimwambia kwamba wewe ni 'Jobless ' ukichukua number zake ukimtumia meseji hajibu kabisa!,

Wengi wanaouliza swali hilo hutaka Kufanya ulinganisho tu!

By Saveya

Post a Comment

0 Comments