Nini Maana ya Shanga Kiunoni na Maana yake?

Jamani me sielewagi nini maana ya shanga kiunoni na kazi zake haswa ila naskiaga ina shughuli yake maalum na pia inakuwaje mpaka watoto wadogo [ke] wavalishwe wakati shughuli iliyonayo ni ya kiutu uzima, je utamchukuliaje mpenzi wako unapomuona na shanga!!!!! you are welcome!!!

Post a Comment

0 Comments