SMS NZURI YA KUMKUMBUSHA MPENZI WAKO KUWA YEYE NI NANI KWAKO


Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha
Wewe ni sehemu ya maisha yangu milele

Post a Comment

0 Comments