Mzazi mwenzake Aslay apangua tetesi za kutoka kimapenzi na Daimond

Habari ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mzazi mwenza wa mwanamuziki  Asley aitwae Tessy kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki Daimond zimeshika kasi ambapo bi dada mwenyewe amekanusha taarifa hizo.

Shtumu hizo zimekuja baada ya Tessy kuonekana katika safari mbalimbali zinazoandaliwa na Diamond ikiwemo ile ya Kigoma

''Taarifa si za kweli na hakuna mwanadamu asiekosa cha kuzungumza ama kuzusha unajua instagram ukiandikwa vibaya unaweza kupaniki na kuwajibu ila mimi nakaa kimya''- Tessy

Diamond tunaheshimiana sana sana'- Tessy

Post a Comment

0 Comments