WAZEE WA MIKUNJO “DOGY STAILI” INASABABISHA KANSA

Muda mwingine nadhani Tafiti, licha ya kuwa ni kitu kizuri lakini  zimekuja kuharibu maisha yetu kwa vitu tulivyokua tumezoea!

Muda mwingine pia tunapata maarifa ambayo hatukustahili kujua kwasababu ya jinsi yanavyokwenda kutuathiri katika maisha yetu kwa muda mrefu.

Sasa sikia hii juu ya tafiti kutoka kwa waziri wa afya wa Afrika ya kusini, dunia imeshangazwa baada ya kuambiwa kuwa doggy style ile ya wakati wa kukutana kimwili na mpenzi wako kuwa ni hatari kwa afya na inaweza sababisha cancer.

Doooh utaambia nini mpenzi wako baada ya kusoma utafiti huu!

Swali moja ambalo tunajiuliza inakuaje staili hii pendwa inaweza kuwa hatari kwa mtu yoyote?

Haya basi najua wengi tumepigwa na butwaa juu ya jambo hili . Bwana Aaron Motsoaledi aliyefanya utafiti amesema ‘doggy’ wakati wa kujamiina inaweza kuwa chanzoo kikubwa cha ugonjwa wa cancer’. Anasema imemchukua miaka 3 kupata majibu ya utafiti huu bado am wondering is utafiti ni kweli au upuuzi

Post a Comment

0 Comments