RAYVANNY ATHIBITISHA KUACHANA NA MPENZI WAKE FAHMA


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katoika lebo ya muziki iliyochini ya diamond Platnumz, WCB Rayavnny amethibitisha kuachana na mama mtoto wake Fahym.



Kupitia ukurasa wake wa Instram Ryvanny amepost meseji alichat na mama mtoto wake na kuandika hivi:-

“NIMEKUA NAKUHESHIMU MIAKA YOTE TULIOKUA PAMOJA KUNA MENGI TUMEKOSEANA NA TUMESAMEHEANA NA MOST OF THE TIME UMEKUA UKITAMANI MAISHA AMBAYO KILA SIKU NAKWAMBIA HAYATAKUSAIDIA …. NAKUHESHIMU NA NAISHEMU SANA FAMILIA YANGU …. IKIWA UMEAMUA MWENYEWE KUONDOA I WON’T BLAME YOU ….. STILL LOVE MY FAMILY …NAKUTAKIA MAISHA MEMA 🙏🙏🙏🙏”

Post a Comment

0 Comments